Kwa streka za kibongobongo. Subiri Boko atakavowaumiza mana simba inaviungo wengi. Na atawaliza mechi ya simba vs yanga. Boko anastamina, mashuti mazito na analijua goli, pia Boko anatumia kichwa chake vizuri. Simba ndio timu inayotengeza nafasi nyingi sana lakini forward ni vilazakapombe na boko hapo tumechemka..mkubali msikubali
Kwa streka za kibongobongo. Subiri Boko atakavowaumiza mana simba inaviungo wengi. Na atawaliza mechi ya simba vs yanga. Boko anastamina, mashuti mazito na analijua goli, pia Boko anatumia kichwa chake vizuri. Simba ndio timu inayotengeza nafasi nyingi sana lakini forward ni vilaza
Sent using Jamii Forums mobile app
Aanze kutupia ku nyavu huko Kigali kwanza ili tufuzu CHAN, vinginevyo ni mshambuliaji anayekimbiakimbia uwanjani tu. Hana jipya.Kwa streka za kibongobongo. Subiri Boko atakavowaumiza mana simba inaviungo wengi. Na atawaliza mechi ya simba vs yanga. Boko anastamina, mashuti mazito na analijua goli, pia Boko anatumia kichwa chake vizuri. Simba ndio timu inayotengeza nafasi nyingi sana lakini forward ni vilaza
Sent using Jamii Forums mobile app
Enyi mikia fc msio na akili (mbumbumbu) ni nani aliyewaroga? Mlianza vizuri na wachezaji vijana sasa mmerejea kwenye shikamoo jazz!1. Aishi Manula
2.Shomari Kapombe
3. Mohammed Hussein
4. Erasto Nyoni
5. Salimu Mbonde
6. Jonas Mkude
7. Shiza Kichuya
8. Haruna Niyonzima
9. John Boko
10. Laudit Mavugo
11. Emanuel Okwi
Sent using Jamii Forums mobile app
tambwe ngoma ajib wakawaidaaa sanaaKapombe .Erasto.Mbonde.Hussein. Ndio wawakabe Ajib.Tambwe.Ngoma.Chirwa ..haya masihara
Nduda1. Aishi Manula
2.Shomari Kapombe
3. Mohammed Hussein
4. Erasto Nyoni
5. Salimu Mbonde
6. Jonas Mkude
7. Shiza Kichuya
8. Haruna Niyonzima
9. John Boko
10. Laudit Mavugo
11. Emanuel Okwi
Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea na formation inawezekana wakacheza Kama forward pacha wawili wa mwisho kwenye mfumo wa 3-5-2Bocco namba 9, Mavugo 9 mbona hamna balance
Majeruhi yaweza kumpata yoyote its not a big issuesikatai kuwa boko ni mzuri..tatizo la boko ni majeraha yasiyoisha
Umeishiwa cha kuongeaWachezaji wote hao ni wastaafu, above 30 wote, bongo mpira bado kabisa, hii Tanzania Stars
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbumbumbu ni wewe na mkeoEnyi mikia fc msio na akili (mbumbumbu) ni nani aliyewaroga? Mlianza vizuri na wachezaji vijana sasa mmerejea kwenye shikamoo jazz!
Ni suala la muda tu, si muda mrefu, Tanzania na Dunia zitashuhudia timu ya wananchi ikichukua ubingwa 4X kiulani kabisa.
TrueKwa streka za kibongobongo. Subiri Boko atakavowaumiza mana simba inaviungo wengi. Na atawaliza mechi ya simba vs yanga. Boko anastamina, mashuti mazito na analijua goli, pia Boko anatumia kichwa chake vizuri. Simba ndio timu inayotengeza nafasi nyingi sana lakini forward ni vilaza
Sent using Jamii Forums mobile app
Makoye Matale....