moekhitaryan
Senior Member
- Oct 3, 2016
- 121
- 104
Wadau wa GGMU ebu tupredict line up ambayo itamtoa kamasi yule mvaa mawani Jurgen KLopp
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
poa jembee [emoji23] [emoji23]Ninachokuomba wewe moekhitaryan baada Ya Gemu Kuisha Usije Ukautelekeza tu Huu Uzi! Uje Utupe Mrejesho wa Pilau Yako...
dah hapo lazima afe1.De gea
2.Valencia
3.Blind
4.Baily Fundi.
5.Smalling
6.Herrera kisheti
7.Rashford
8.Pogba
9.kadabra Mnyama
10.Mata
11.lingard
Hapo vijogooo lazma wafe
Kwa mpira upi mlionao wa kumfunga Liverpool anfield????
1.De gea
2.Valencia
3.Blind
4.Baily Fundi.
5.Smalling
6.Herrera kisheti
7.Rashford
8.Pogba
9.kadabra Mnyama
10.Mata
11.lingard
Hapo vijogooo lazma wafe
1.Karius1.De gea
2.Valencia
3.Blind
4.Baily Fundi.
5.Smalling
6.Herrera kisheti
7.Rashford
8.Pogba
9.kadabra Mnyama
10.Mata
11.lingard
Hapo vijogooo lazma wafe
Ila Liverpool mnabweteka sana, ngoja mpigwe tu kwenu hamna namna!!Kwa mpira upi mlionao wa kumfunga Liverpool anfield????