Line Up yangu ya kumchinja Jogoo wa Anfield ili tumlie Pilau

Line Up yangu ya kumchinja Jogoo wa Anfield ili tumlie Pilau

1.De Gea
2.Valencia
3.Shaw
4.Smalling
5.Baily
6.Herera
7.Mata
8.Pogba
9.Zlatan
10.Rooney
11.Martial
 
Jamani mkitoka anfield malizaneni na van persie alhamisi then j2 karibuni stamford bridge tuwaadhibu ipasavyo this time hatukomei bao 1 ni mvua
 
Jamani mkitoka anfield malizaneni na van persie alhamisi then j2 karibuni stamford bridge tuwaadhibu ipasavyo this time hatukomei bao 1 ni mvua
Huu mtungo namuanza mimi leo shetani nampa 3+ mpka uje umshike wewe jumamosi yuko hoi unajipigia tu
 
liverpool 4-0 mi naweka noti wewe weka jiwe unaebisha
 
Labda ingekuwa mtetea..m sio LIVERPOOL FC. Mwaka huu mtakiona
 
1.Karius
2.clyne
3.mpiga penalty
4.matip
5.klavan
6.hendo
7.mane
8.WILJNALDUM
9.firmino
10.coutinho
11.Lallana

mziki wetu ni uleule, na mtaucheza
Oya umejuaje no.3? Lazma awapige tuta 1 leo
 
we tulia wanashobo saana kisa kaconsistence ka tumechi kadhaa wanaona taaar
We na mwenzio mtakua wana wa wenger ama conte. Sio mbaya welcome tuwatch ze game where the cock f***s the devil
 
Liver 4-3-3

Karius

Clyne, Matip, Klavan, J.Milner

Lallana, Henderson, Wijnaldum,

Mane, Firmino, Coutinho
Waambie hatushindanii majina. Mengine ni mil 100 na ni hewa!
 
nasikia lallana na wijnaldum hawachezi, mapengo yao yanazibwa na can na sturridge, bado man u hajapona
 
dah wazee wa liverpool mnaandika saaana naomba baada ya mechi muandike hvi hvi msikimbie nishawanote majina yenu
 
Labda mshinde kwa njaa.....[emoji12] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Back
Top Bottom