Inartia
JF-Expert Member
- Aug 24, 2016
- 1,284
- 1,305
Msimu ulopita kwani hatukuwanga na huyo kichaa wenu klop?Wewe Waache Wajishauwe tu Hawa! Wanafikiria Klopp Ndiye Yule Blendan Rogers Waliyekua Wakijipigia...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msimu ulopita kwani hatukuwanga na huyo kichaa wenu klop?Wewe Waache Wajishauwe tu Hawa! Wanafikiria Klopp Ndiye Yule Blendan Rogers Waliyekua Wakijipigia...
Msimu ulopita kwani hatukuwanga na huyo kichaa wenu klop?
dah wazee wa liverpool mnaandika saaana naomba baada ya mechi muandike hvi hvi msikimbie nishawanote majina yenu
1.Karius
2.clyne
3.mpiga penalty
4.matip
5.klavan
6.hendo
7.mane
8.WILJNALDUM
9.firmino
10.coutinho
11.Lallana
mziki wetu ni uleule, na mtaucheza
1.Karius
2.clyne
3.mpiga penalty
4.matip
5.klavan
6.hendo
7.mane
8.WILJNALDUM
9.firmino
10.coutinho
11.Lallana
mziki wetu ni uleule, na mtaucheza
1.Karius
2.clyne
3.mpiga penalty
4.matip
5.klavan
6.hendo
7.mane
8.WILJNALDUM
9.firmino
10.coutinho
11.Lallana
mziki wetu ni uleule, na mtaucheza
Kumbe tuliwapakata? Sasa subiri na leo baada ya kuiandaa, usije ukaleta sababu nyengine tuInaonesha Umesahau Au Hukufatilia! Klopp Alikuja October 2015 Ambapo Kabla Hajaiandaa Timu Alicheza Mchezo Mmoja tu Wa Ligi na Man U na Mukashinda Goli Moja Lililofungwa na Rooney...
Lakini Tukakutana Tena Na Man U katika Europa Klopp Akawatandika 2 bila ndani ya Anfield, Na Tulipokuja OT tukatoka Sare ya 1 - 1.
Kwahiyo Klopp Kakutana mara Tatu na Man U, Kafungwa Moja, Katoka Sare Moja, na Kashinda Moja.
Kocha Ambaye Van Gaal Aliyejipigia ni Brendan Roggers....
1.De gea
2.Valencia
3.Blind
4.Baily Fundi.
5.Smalling
6.Herrera kisheti
7.Rashford
8.Pogba
9.kadabra Mnyama
10.Mata
11.lingard
Hapo vijogooo lazma wafe
Man utd badilisheni kocha. Siyo kwa bus hiloooo la mourinhooooo
Yaan we umepotea unadhan anfield kwa ss kuna kupoteza kizembe?Wadau wa GGMU ebu tupredict line up ambayo itamtoa kamasi yule mvaa mawani Jurgen KLopp
Kwani Liver kuna mtu amewakataza kubadilisha kocha? Kama mliona shida kupanda bus mngepanda hata Bombadia za jpm. Mpira unachezwa kwa malengo, point moja ilikuwa muhimu kuliko kupoteza.Man utd badilisheni kocha. Siyo kwa bus hiloooo la mourinhooooo