Mob watu wamefanya application ya hizo line tangu mwaka jana mwezi february na wamefuata taratibu zote hadi ilipofika miezi nane hawajapata wakaenda kudai milioni moja zao walizo deposit bank kama masharti ya kupata hiyo line na hawajapata hadi leo, hivyo ukiona mtu anauliza humu na anataka kununua jua kwamba amesha hangaika kote huko na imeshindikana
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums