Line ya uwakala-tigopesa nahitaji

Line ya uwakala-tigopesa nahitaji

Pandamlima

Senior Member
Joined
Feb 27, 2013
Posts
143
Reaction score
13
Wadau, kwa yeyote anayemjua mtu yeyote anayeuza lani ya tigopesa tafadhali naomba mnijuze ili ninunue
 
kuna mtu anauza laki sita na nusu ni pm nikupe namba zake
 
Ipo inataka laki saba ni pm

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
mkuu tuache short cut nenda pale tigo fuata procedure fasta utapata ila ukianza short cut utajalia na ndo nyie mnaochochea rushwa
 
Mob watu wamefanya application ya hizo line tangu mwaka jana mwezi february na wamefuata taratibu zote hadi ilipofika miezi nane hawajapata wakaenda kudai milioni moja zao walizo deposit bank kama masharti ya kupata hiyo line na hawajapata hadi leo, hivyo ukiona mtu anauliza humu na anataka kununua jua kwamba amesha hangaika kote huko na imeshindikana

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom