Line ya uwakala ya M-PESA,Tigo pesa Na mashine max malipo inahitajika

Line ya uwakala ya M-PESA,Tigo pesa Na mashine max malipo inahitajika

chambi1509

Member
Joined
Mar 29, 2018
Posts
95
Reaction score
42
Habari wanajf!

Samahani kwa usumbufu utakaojitokeza kuhusiana Na hiki ninachokiandika!

Baada ya kuomba radhi naomba sasa nijikite rasmi kwa maada yangu! Naomba mwenye line ya M-PESA au tigo pesa Na mashine ya max malipo hizi za kisasa naomba aje tujadili pm ninazihitaji kwa UDI Na uvumba! Niko mtongani DSM !

Mnakaribishwa sana wakuu
Nkinda72 (Instagram)
0789463666 call
 
Back
Top Bottom