Habari wanajf!
Samahani kwa usumbufu utakaojitokeza kuhusiana Na hiki ninachokiandika!
Baada ya kuomba radhi naomba sasa nijikite rasmi kwa maada yangu! Naomba mwenye line ya M-PESA au tigo pesa Na mashine ya max malipo hizi za kisasa naomba aje tujadili pm ninazihitaji kwa UDI Na uvumba! Niko mtongani DSM !
Mnakaribishwa sana wakuu
Nkinda72 (Instagram)
0789463666 call