Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mtandao ganiKama wahitaji laini za uwakala..unapata 4 ukiwa na laki 3
Vigezo ni Tin Number na Kitambulisho cha NIDA
Napatikana Ubungo
Kwa mawasiliano 0656652250
Nahitaji line 3 nina laki 1 na nusu, sihitaji ya tigo...Unapata mitandao minne
Tigo
Voda
Airtel
Halotel
Law of demand and supplyIv kwa nini hizi line za mawakala zisitolewe bure kwa sababu mtu anapofanyia kazi kampuni inaingiza pesa.
Zinatolewa bure,ila kukwepa usumbufu ndo unatumia mawingaIv kwa nini hizi line za mawakala zisitolewe bure kwa sababu mtu anapofanyia kazi kampuni inaingiza pesa.
Akupe hizo, mie anipe hiyo ya tigo tu....Na
Nahitaji line 3 nina laki 1 na nusu, sihitaji ya tigo...
Njoo nikupe ya eatelNa
Nahitaji line 3 nina laki 1 na nusu, sihitaji ya tigo...
Je azampesa?Unapata mitandao minne
Tigo
Voda
Airtel
Halotel
Azam pesa unazo?mtandao gani