Linex anakwama wapi siku hizi

Mapensho star

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
3,052
Reaction score
4,104
Huyu ni msanii kutokea kule kigoma amefanya ngoma kali miaka kadhaa iliyopita nyimbo ya mwisho kufanya vizuri ilikuw ile aliyemshirikisha diamond salima
ila sasa hiv mshkaji anajitahidi kurudi lakini kama watu hawamwelewi tatizo liko wap anakwama wapi
katoa nyimbo yake mpya inakwenda kwa jina la am sorry lakini kama bado hivi hajajipanga video ya kawaida sana mimi nazan mshkaji anakosa management

 
We kila nyimbo unayoimba ya kulialia unategemea nini,watu wanataka nyimbo za shangwe,mi hunisikilizishi nyimbo za kutia huruma.
 
Mtawaelewa tu Mawingu....

Wakishakuchoka wanakupa.
 
Aifola ndio ngoma yangu ya muda wote kutoka kwa mjeda
 
Linex hayuko serious na mziki nafikiri hata management yake kama anayo haijitambui.Linex aliwahi pewa mualiko Nairobi na Bahati akalipiwa flight na kuahidiwa kufikia 5 star hotel lakini Linex hakwenda.Pia anaendekeza sana bange kiasi kwamba hawez kufanya mziki ipasavyo.Baadae wataanza kulaumu media zinawabania kumbe yeye haendi na muda.
 
mbona mie wimbo wake wa i'm sorry nimeupenda….sema alivyovaa kwenye video yake amechusha na kujishusha thamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…