Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,057
- 10,367
Stroke[emoji23] [emoji23] [emoji23]Aisee hata mimi nilicomment kwa Trump kule twitter, nikamwambia kama atahitaji waziri toka afrika anipigie tu, sasa jana usiku wakati nimelala akanipigia bwana sema simu ilikua kwenye silent, sikuisikia naamka nakuta 5 missed calls from Trump.
Mkuu Nimecheka mpka machozi yamenitokaKama hii habari ni ya kweli basi huyu Linex kuna nati itakuwa imekata.
Msolo[emoji769] 2017
Trump wa tandahimba huyoAisee hata mimi nilicomment kwa Trump kule twitter, nikamwambia kama atahitaji waziri toka afrika anipigie tu, sasa jana usiku wakati nimelala akanipigia bwana sema simu ilikua kwenye silent, sikuisikia naamka nakuta 5 missed calls from Trump.
Hivi ujue chakorii hio pua yako inatumalizia hewa hapa JFNajua kuchanganyikiwa kwa furaha kupo lkni bwana linex angejikaza kiume akaongea ajue anasema nini maana kitendo cha kupigia simu Dj Khaleed ni sawa na kuokota dhahabu bombani.Aiseeh.
Alishangaa wapi!!! Lugha gongana!!sasa alishangaa nini
HongeraaAisee hata mimi nilicomment kwa Trump kule twitter, nikamwambia kama atahitaji waziri toka afrika anipigie tu, sasa jana usiku wakati nimelala akanipigia bwana sema simu ilikua kwenye silent, sikuisikia naamka nakuta 5 missed calls from Trump.
Hivi harmorappa yupoMi mwenyewe Harmorappa nilimbeep alivyopiga kithethe kikawa kikwazo nkamkatia
Hahahaha...huyu ndo mtakatifu wetu wa kizazi kipya.Hivi ujue chakorii hio pua yako inatumalizia hewa hapa JF