Linex: Nilipigiwa simu na Dj Khaleed nikachanganyikiwa.

Linex: Nilipigiwa simu na Dj Khaleed nikachanganyikiwa.

Aisee hata mimi nilicomment kwa Trump kule twitter, nikamwambia kama atahitaji waziri toka afrika anipigie tu, sasa jana usiku wakati nimelala akanipigia bwana sema simu ilikua kwenye silent, sikuisikia naamka nakuta 5 missed calls from Trump.
Stroke[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mjini California hahaha.

Hawa ndio wanaotapeliwa na Wanaijeria.

Weka laki tano hapa registration fee ya label ya DJ Khaled ili kufanya kolabo naye.

Sasa hivi wametoka kuwalaghai dada zetu wanahamia kwa wasanii.

Sent from my Kimulimuli
 
Aisee hata mimi nilicomment kwa Trump kule twitter, nikamwambia kama atahitaji waziri toka afrika anipigie tu, sasa jana usiku wakati nimelala akanipigia bwana sema simu ilikua kwenye silent, sikuisikia naamka nakuta 5 missed calls from Trump.
Trump wa tandahimba huyo

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Sasa hapo..sijui ni mimi sjamuelewa Linex ama..aljuaje kua ni Dj khaled kampgia cm??..au ni ile Whatsap!! ina Maana leo mie nimtumie Jumaa pm yuko Omani..badae wewe ukanipgia simu af' ukasema"As/alaykum ndo nijue kua nime ongea na Muarab wa Omani!! realyy.
 
Najua kuchanganyikiwa kwa furaha kupo lkni bwana linex angejikaza kiume akaongea ajue anasema nini maana kitendo cha kupigia simu Dj Khaleed ni sawa na kuokota dhahabu bombani.Aiseeh.
Hivi ujue chakorii hio pua yako inatumalizia hewa hapa JF
 
Ndio maana wahenga walituonya tusivute mjani bila kula. Waliona mbali sana.
 
Mi mwenyewe Harmorappa nilimbeep alivyopiga kithethe kikawa kikwazo nkamkatia
 
Aisee hata mimi nilicomment kwa Trump kule twitter, nikamwambia kama atahitaji waziri toka afrika anipigie tu, sasa jana usiku wakati nimelala akanipigia bwana sema simu ilikua kwenye silent, sikuisikia naamka nakuta 5 missed calls from Trump.
Hongeraa

Sent from my Infinix HOT 4 Lite using JamiiForums mobile app
 
Hivi ujue chakorii hio pua yako inatumalizia hewa hapa JF
Hahahaha...huyu ndo mtakatifu wetu wa kizazi kipya.

Ni wewe mtakatifu ndie inayokumaliza hewa mkuu wengine hawajaniletea hizo tuhuma.teh!

Ngoja niitoe bhana.msije mkaishiwa oksijeni mkaanza niandama buree
 
Back
Top Bottom