Teh!!lugha nayo inatusumbua wengi!!hivi unafikiri angepigiwa vmoney au sepenga angechanganyikiwa!!ishu ni pale inapokuja hujui wapi pa kuanzia yai linapotemwaAmeshapaisha penati kizembe kabisa..
Post sent using JamiiForums mobile app
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kama hii habari ni ya kweli basi huyu Linex kuna nati itakuwa imekata.
Msolo[emoji769] 2017
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Najua kuchanganyikiwa kwa furaha kupo lkni bwana linex angejikaza kiume akaongea ajue anasema nini maana kitendo cha kupigia simu Dj Khaleed ni sawa na kuokota dhahabu bombani.Aiseeh.
Kweli umaarufu hauji hivi hivi[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hv wasan wa bongo
Kwa kutafta kick za msimu
Unawajua unawaskia
Triple A
Noma aiseee ustar coKweli umaarufu hauji hivi hivi
Hapo ndo shida inapokuja.badala angeenda kwa ras simba!!Noma aiseee ustar co
Cm za Chinese useme utaenda
Kununua kariakoo
Triple A
Halafu niliwahi sikia akikana havuti weed,,huyu jamaa wa ovyo sanaaache bange sio nzuri
Kwa hyo mkuu hukimtafuta tena Bw.Trump?Aisee hata mimi nilicomment kwa Trump kule twitter, nikamwambia kama atahitaji waziri toka afrika anipigie tu, sasa jana usiku wakati nimelala akanipigia bwana sema simu ilikua kwenye silent, sikuisikia naamka nakuta 5 missed calls from Trump.
Khaaaaa....sasa nini sasa...kizungu au?[emoji2] [emoji2] [emoji2][emoji23][emoji23][emoji23].ananikumbusha kuna chuo cha carolina.nilitaka kujiunga na kozi za online sasa nikaweka namba zangu.si wakanipigia bhana.dada anaongea huyooo.hata simwelewi.nikakata simu.akapiga tena sijapokea.na juzi kanipigia tena.sijapokeaa
Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
Ataiweka wap aibu yoteHapo ndo shida inapokuja.badala angeenda kwa ras simba!!
bangi nyingi huyo dogo...Msanii Wa Muziki wa Kizazi kipya anayefanya vizuri hivi sasa na Mkwaju wake mpya 'Got me' Sunday 'Linex' Mjeda amefunguka na kudai kuwa wiki mbili zilizopita alipokea simu ya Msanii na Dj Maarufu Wa Marekani Dj Khaleed.
View attachment 541916
Akizungumza na IdrisKitaa kupitia kipindi cha Twenzetu cha Times Fm, Linex amedai baada ya kupokea simu ya Dj Khaleed ambaye kwa wakati huo alikuwa mjini California, alichanganyikiwa asijue cha kufanya hali iliyomfanya Dj Huyo baba Wa Mtoto mmoja akate simu.
"NilimDm tu kwenye Instagram nikawa naisifia album yake kwamba ni Kali, nikaandika mambo mengi na kumtaka kama atataka kolabo na Msanii Wa Afrika nipo tayari" Alisema.
"So niliandika vitu vingi tu, asubuhi naamka nashangaa simu yangu inaita namba za nje afu imeandika California, ile kupokea Whats up, na sauti ni ya Dj Khaleed ile nashangaa akakata simu" Aliongeza.
Katika hatua nyingine Linex amesema amejaribu kumpigia Mara kadhaa lakini simu haipokelewi tena.
Chanzo: Times FM