Linex: Nilipigiwa simu na Dj Khaleed nikachanganyikiwa.

Linex: Nilipigiwa simu na Dj Khaleed nikachanganyikiwa.

Ameshapaisha penati kizembe kabisa..

Post sent using JamiiForums mobile app
Teh!!lugha nayo inatusumbua wengi!!hivi unafikiri angepigiwa vmoney au sepenga angechanganyikiwa!!ishu ni pale inapokuja hujui wapi pa kuanzia yai linapotemwa
 
Najua kuchanganyikiwa kwa furaha kupo lkni bwana linex angejikaza kiume akaongea ajue anasema nini maana kitendo cha kupigia simu Dj Khaleed ni sawa na kuokota dhahabu bombani.Aiseeh.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Hv wasan wa bongo
Kwa kutafta kick za msimu
Unawajua unawaskia

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Wasanii,wa bongo punguzen kick za msmu bwana
Hzi ndoto za mchana achanen nazo

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Sasa alijuaje kama ni DJ khaleed?

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
Sawa.....

Sent from my SM-G903F using JamiiForums mobile app
 
Aisee hata mimi nilicomment kwa Trump kule twitter, nikamwambia kama atahitaji waziri toka afrika anipigie tu, sasa jana usiku wakati nimelala akanipigia bwana sema simu ilikua kwenye silent, sikuisikia naamka nakuta 5 missed calls from Trump.
Kwa hyo mkuu hukimtafuta tena Bw.Trump?
 
[emoji23][emoji23][emoji23].ananikumbusha kuna chuo cha carolina.nilitaka kujiunga na kozi za online sasa nikaweka namba zangu.si wakanipigia bhana.dada anaongea huyooo.hata simwelewi.nikakata simu.akapiga tena sijapokea.na juzi kanipigia tena.sijapokeaa

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
Khaaaaa....sasa nini sasa...kizungu au?[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Hapo ndo shida inapokuja.badala angeenda kwa ras simba!!
Ataiweka wap aibu yote
Ya ustaa alionao alaf aonekane
Hajui kizungu hicho tu ndo
Wanachoogopa

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Huyu jamaa wafanye wampeleke Sober house itakuwa kishaanza kula unga.
 
Labda amemfananisha DJ khaled na DJ choka.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Msanii Wa Muziki wa Kizazi kipya anayefanya vizuri hivi sasa na Mkwaju wake mpya 'Got me' Sunday 'Linex' Mjeda amefunguka na kudai kuwa wiki mbili zilizopita alipokea simu ya Msanii na Dj Maarufu Wa Marekani Dj Khaleed.

View attachment 541916

Akizungumza na IdrisKitaa kupitia kipindi cha Twenzetu cha Times Fm, Linex amedai baada ya kupokea simu ya Dj Khaleed ambaye kwa wakati huo alikuwa mjini California, alichanganyikiwa asijue cha kufanya hali iliyomfanya Dj Huyo baba Wa Mtoto mmoja akate simu.

"NilimDm tu kwenye Instagram nikawa naisifia album yake kwamba ni Kali, nikaandika mambo mengi na kumtaka kama atataka kolabo na Msanii Wa Afrika nipo tayari" Alisema.

"So niliandika vitu vingi tu, asubuhi naamka nashangaa simu yangu inaita namba za nje afu imeandika California, ile kupokea Whats up, na sauti ni ya Dj Khaleed ile nashangaa akakata simu" Aliongeza.

Katika hatua nyingine Linex amesema amejaribu kumpigia Mara kadhaa lakini simu haipokelewi tena.

Chanzo: Times FM
bangi nyingi huyo dogo...

Post sent using JamiiForums mobile app
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]nacheka kwa dharau

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hata Mimi Nilicomment Kwenye Page Ya Bayern Munchen Ya Twitter Kuwa Kama Watataka Straika Toka East Africa Wanicheck. Niliandika Vitu Vingi Tu. Sasa Leo Asubuhi Nimeona Simu Inaita Namba Ngeni Ya Kimataifa. Wakat Najishauri Ikakata Ikapiga Tena Nkapokea Anaongea Kijerumani Tu,Kumbe Ni CARLO ANCELLOTI,Nilikuja Kujua Baadae Baada Ya Kukuta Meseji Yake Twitter Kasema Ameghairi Hata Kumuuza Lewandoski Chelsea Kisa Mimi Sijapokea Simu. Yani Ningepokea Simu Lewandowski Angeuzwa Chelsea Alaf Mimi Nikacheze Pale Na James Rodriguez. Dah,Nimeumia Sana

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom