Linex: Nilipigiwa simu na Dj Khaleed nikachanganyikiwa.

Labda Dj Khan

Sent from my Siemens A-35 using JamiiForums mobile app
 
juzi nikakutana na rooniy temeke akipiga misele ili kuona uswazi kukoje.

ilekumuona nikamfata tupige selfey, mara simu yangu ikakata chaji

ni nouma...hahahahaaaa
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]

Post sent using JamiiForums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu, you made my day[emoji23] [emoji23]

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Linex anaweza kuwa stand up comedian bora kuliko hata Pilipili.
 
Ukiwa umevuta bange, kisha ukalala na kuota ndoto, ukiamka bangi imekwisha, kumbukumbu ya ulichokiota inakuwa kama ni kweli yametukia kabisa, unaweza kubishana mtu hata dau ukaweka kuwa ni kweli yametukia.
 
Fix na figisu za linex Sunday....hahahahsaass
 
Huyu bwana kaanza tena kuvuta mibange kama kipindi kile cha shule ya msingi wilayani kasulu so bure tafuteni namna ya kumsaidia

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Nimesikiliza Xxl leo Mchana.
Kumbe ni kweli alipigiwa simu. Na leo kapigiwa na Meneja wa Dj Khalid, kamuahidi Collabo.

Mziki wa Linex umeanza kwenda International. atafika mbali sana.
 
Ndio akome, apige Customer care sasa

Sent from my TECNO PhonePad 3 using JamiiForums mobile app
 
Aisee hata mimi nilicomment kwa Trump kule twitter, nikamwambia kama atahitaji waziri toka afrika anipigie tu, sasa jana usiku wakati nimelala akanipigia bwana sema simu ilikua kwenye silent, sikuisikia naamka nakuta 5 missed calls from Trump.
hahah alaf imeandika washington
 
Dj Khaleed ataishia kusema we da best vesi nzima bora amtafute hormorapa tuu.
 
[emoji23][emoji23]
Unaona baadhi ya wasanii wetu walivo mazezeta

Maelekezo na Maamuzi kutoka Juu
 
Aisee hata mimi nilicomment kwa Trump kule twitter, nikamwambia kama atahitaji waziri toka afrika anipigie tu, sasa jana usiku wakati nimelala akanipigia bwana sema simu ilikua kwenye silent, sikuisikia naamka nakuta 5 missed calls from Trump.
Hahah
[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe na ww alikupigia,huyu Trump nae,nilidhani peke yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…