Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]juzi nikakutana na rooniy temeke akipiga misele ili kuona uswazi kukoje.
ilekumuona nikamfata tupige selfey, mara simu yangu ikakata chaji
ni nouma...hahahahaaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu, you made my day[emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].ananikumbusha kuna chuo cha carolina.nilitaka kujiunga na kozi za online sasa nikaweka namba zangu.si wakanipigia bhana.dada anaongea huyooo.hata simwelewi.nikakata simu.akapiga tena sijapokea.na juzi kanipigia tena.sijapokeaa
Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
hahah alaf imeandika washingtonAisee hata mimi nilicomment kwa Trump kule twitter, nikamwambia kama atahitaji waziri toka afrika anipigie tu, sasa jana usiku wakati nimelala akanipigia bwana sema simu ilikua kwenye silent, sikuisikia naamka nakuta 5 missed calls from Trump.
HahahAisee hata mimi nilicomment kwa Trump kule twitter, nikamwambia kama atahitaji waziri toka afrika anipigie tu, sasa jana usiku wakati nimelala akanipigia bwana sema simu ilikua kwenye silent, sikuisikia naamka nakuta 5 missed calls from Trump.
Kumbe na ww alikupigia,huyu Trump nae,nilidhani peke yangu.Aisee hata mimi nilicomment kwa Trump kule twitter, nikamwambia kama atahitaji waziri toka afrika anipigie tu, sasa jana usiku wakati nimelala akanipigia bwana sema simu ilikua kwenye silent, sikuisikia naamka nakuta 5 missed calls from Trump.