Linex: Nitagombea ubunge Kasulu Mjini

Wa Kwilondo

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2007
Posts
1,081
Reaction score
313
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]kutoka kushoto,Linex,Zitto Kabwe[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Msanii Linex :
Katika hali ya kushangaza na ya kustua wengi,msanii maarufu wa muziki wa bongoflava kutokea mkoani Kigoma Linex, Ametangaza nia ya kuwania ubunge mwakani katika jimbo la Kasulu mjini, Jimbo ambalo kwa sasa linaongoewa na mbunge Moses Machali wa NCCR Mageuzi

Msanii huyo anaetamba kwa nyimbo mbalimbali za kizazi kipya ameyasema hayo mchana huu kupitia Radio Clouds Fm katika kipindi cha XXL segment inayotangazwa na mtangazaji Sud Brown maarufu kama Makorokocho,

Linex alisema"mimi ni mheshimiwa mbunge mtarajiwa wa jimbo la Kasulu"mtangazaji alipomuuliza atagombea ubunge kupitia chama gani alisema kupitia ACT.

 
Afadhari apate uenyekiti atatulia maana ni njozi zake za muda mrefu
 
Ni mpaka kwanza ajiunge na ACT ifikapo September halafu uchaguzi ufanyike achaguliwe kuwa mwenyekiti. Nafikiri huyo Alex anakurupuka tu!
 
Hivi vihabari vya Clouds FM ni vya kidaku tu. Clouds FM haiwezi kuwa chanzo cha habari makini. Peleka habari hii GP
 
Huyo Linex Labda ugombee ubunge wa wavuta bangi ndo atapata
 
Ukikosa mke, bora ujitolee mahari tu.
 
Huyo Linex ndo huyo aliyevaa mamiwani makubwa hapo kwenye picha?
 
MZee wa kudanganywa mpaka jina anataka kugombea ubunge safi sana vijana.........tutawaunga mkono tukisikia sera zenu.
 
Huyo Linex Labda ugombee ubunge wa wavuta bangi ndo atapata

Wana Kasulu tunamuunga mkono Linex kwa sana. Ameutambulisha mkoa wa Kigoma vyema. Huyo kicha Machali mwenye laana ya wazazi aondoke zake.
 
Kufanya dili na madogo bana!! sasa tayari yameshaanza kuropoka hovyo kabla ya muda muafaka!!
 
Linex kwa kipi hasa mpaka tupange foleni kukupa ubunge??
 
Fedha za kampeni atapata wapi maana yeye mwenyewe ni mpiga vizinga mkubwa.
 
Mweeeeee
Huko bungeni siku hizi kumeharibika kiasi kwamba Baadhi ya
watu wanapakosea heshima..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…