Wa Kwilondo
JF-Expert Member
- Sep 15, 2007
- 1,081
- 313
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]kutoka kushoto,Linex,Zitto Kabwe[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Msanii Linex :
Katika hali ya kushangaza na ya kustua wengi,msanii maarufu wa muziki wa bongoflava kutokea mkoani Kigoma Linex, Ametangaza nia ya kuwania ubunge mwakani katika jimbo la Kasulu mjini, Jimbo ambalo kwa sasa linaongoewa na mbunge Moses Machali wa NCCR Mageuzi
Msanii huyo anaetamba kwa nyimbo mbalimbali za kizazi kipya ameyasema hayo mchana huu kupitia Radio Clouds Fm katika kipindi cha XXL segment inayotangazwa na mtangazaji Sud Brown maarufu kama Makorokocho,
Linex alisema"mimi ni mheshimiwa mbunge mtarajiwa wa jimbo la Kasulu"mtangazaji alipomuuliza atagombea ubunge kupitia chama gani alisema kupitia ACT.
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD][/TR]