Wana Kasulu tunamuunga mkono Linex kwa sana. Ameutambulisha mkoa wa Kigoma vyema. Huyo kicha Machali mwenye laana ya wazazi aondoke zake.
Huyo Linex Labda ugombee ubunge wa wavuta bangi ndo atapata
Ndo mana juzi kati, Zitto alimpa mkwanja jamaa akarekodi audio, then akampa mkwanja sasa hivi yupo kwa adam juma akirekodi kichupa. Yote haya ni kumlainisha mchizi ajiunge na chama cha Zitto.
Mhuni baba yako!!SUGU amesababisha kila muhuni atake kuwa mbunge!
Kufanya dili na madogo bana!! sasa tayari yameshaanza kuropoka hovyo kabla ya muda muafaka!!
SUGU amesababisha kila muhuni atake kuwa mbunge!
Sidhani kama anafaa kugombea hata uenyekiti wa mtaa.
Ndo mana juzi kati, Zitto alimpa mkwanja jamaa akarekodi audio, then akampa mkwanja sasa hivi yupo kwa adam juma akirekodi kichupa. Yote haya ni kumlainisha mchizi ajiunge na chama cha Zitto.
Kuna kipindi itafika Tz mtu akikuita Mbunge sawa na Amekutukana..