Linex: Nitagombea ubunge Kasulu Mjini

Linex: Nitagombea ubunge Kasulu Mjini

Sidhani kama anafaa kugombea hata uenyekiti wa mtaa.
 
Wana Kasulu tunamuunga mkono Linex kwa sana. Ameutambulisha mkoa wa Kigoma vyema. Huyo kicha Machali mwenye laana ya wazazi aondoke zake.

Hii nayo comed,labda ubunge wa wabana pua!
 
Hao Ndio wagombea wa ACT? Ha ha ha haaaaaaaa
 
Ndo mana juzi kati, Zitto alimpa mkwanja jamaa akarekodi audio, then akampa mkwanja sasa hivi yupo kwa adam juma akirekodi kichupa. Yote haya ni kumlainisha mchizi ajiunge na chama cha Zitto.
 
Ndo mana juzi kati, Zitto alimpa mkwanja jamaa akarekodi audio, then akampa mkwanja sasa hivi yupo kwa adam juma akirekodi kichupa. Yote haya ni kumlainisha mchizi ajiunge na chama cha Zitto.

Na wimbo ni wa mipasho.
 
SUGU amesababisha kila muhuni atake kuwa mbunge!

hivi kuna wahuni kama hao wazee wenzio walotuuingiza kwenye mikataba mibovu lukuki.Acha tu vijana watangaze nia tuwape nnchi,bange si swala la kumchafua mtu,kwani kuna mahamuzi kibao yamefanyika nnchi hii utadhani watu wamekula bange.
 
Ndo mana juzi kati, Zitto alimpa mkwanja jamaa akarekodi audio, then akampa mkwanja sasa hivi yupo kwa adam juma akirekodi kichupa. Yote haya ni kumlainisha mchizi ajiunge na chama cha Zitto.

Zitto kabwe akitaka kulinda heshima yake anapaswa kuachana na vijana wehu kama hao, yaani mtu akijulikana ktk ulimwengu wa muziki anadhani hata siasani atakuwepo! pumbavu sana.
 
Nlivyo msikia n kama alikuwa amelewa pombe coz alikuwa anaropoka 2 but m sio msemaji wa hicho chama,nawaachia watu wa kasulu,
 
Kuna kipindi itafika Tz mtu akikuita Mbunge sawa na Amekutukana..
 
Hawa wasanii bhana. mara kingwendu mara nani mbona kazi sasa.
 
Back
Top Bottom