Linex: Nitagombea ubunge Kasulu Mjini

Linex: Nitagombea ubunge Kasulu Mjini

akihojiwa na SOUDY BROWN wa CLOUD FM msanii linex amedai anajiandaa kygombea ubunge kupitia ACT.
ACT SS INAWASHA MOTO CJUI NAN ATAUZIMA?
 
Pole linex angalia usije potea kwenye ramani!!! Huo moto wa act atauzima mleta mada
 
Act itachukua majimbo ya arusha mjini iringa mjini na mbeya pamoja na lile la iramba
 
haya matoto ya bongo flavor wanahitaji msaada maana naona zile vijicent vya lekadutigite walizopewa na CCM via NSSF zinawazingua sasa... wajiulize yule alie asi Chadema yuko wapi sasa?... Sugu anachana mawingu kila siku ...
 
akihojiwa na SOUDY BROWN wa CLOUD FM msanii linex amedai anajiandaa kygombea ubunge kupitia ACT.
ACT SS INAWASHA MOTO CJUI NAN ATAUZIMA?

ahaa! Bas ni makubwa....stay tune to BABA REVO naye...kg kg tuuu watapotea kama marlow yuko wap sasa.
 
Mwambie amuulize Mallow yaliyomkuta! Anajuuuuuta..........
 
haya matoto ya bongo flavor wanahitaji msaada maana naona zile vijicent vya lekadutigite walizopewa na CCM via NSSF zinawazingua sasa... wajiulize yule alie asi Chadema yuko wapi sasa?... Sugu anachana mawingu kila siku ...

mbeya watu wanajuta subir 2015
 
Bangi bwana!! Nadhani kuna haja ya kubadili sifa za mgombea ubunge, sifa zingine ziishie kwenye udiwani na uenyekiti wa mitaa, sasa hivi kila msanii anataka kuwa mbunge ,kwenye hiyo sanaa tu amesha fanya yepi, itafikia mahali hakuna hata wa kumpigia kura ,hiyo ccm imejaa wajaza tumbo,wanakuja walafi wa madaraka, na sasa tamaa na sifa za kuitwa mmbunge pasipo sifa stahiki,
Ushauri bado bado tunamhitaji kwenye muziki siasa hazita mfaa,kwa sasa nchi hii ndo inaanza kukamata kasi ya maendeleo tunahitaji watu wenye elimu za kutosha kuindeleza nchi,ifike wakati hata waziri anapewa cheo kwa fani husika ,sio mkimbia riadha anakuwa waziri wa afya au msanii anakuwa waziri wa ulinzi, nchi hii ingekuwa kampuni sidhani kama ingekuwa hai.
 
mkuu kama ana sifa na vigezo ni haki yake ya msingi na ya kikatiba kupiga na kupigiwa kura.
 
Back
Top Bottom