pauline
JF-Expert Member
- Dec 26, 2010
- 650
- 140
wajemeni hivi ni mimi tu au kuna wanawake wengine pia hizo G-strings na bikini hatuna mzuka navyo??am more comfortable nikivaa pants kubwa ila wakati wa kusaula na shemeji yenu naona aibu kweli......huwa nawish ningevaa kitu more attractive instead,.........:dance::biggrin1: