lingerie.......

lingerie.......

peace-hotpants1.gif
hot-pants-690-2008-06-19-11-06-54.jpg
16971102_1.jpg
31E82CE0.jpg
Pauline tafuta kama hizi...hata ukiwa na mwili mkubwa kidogo bado unaweza kupendeza mradi tu uvae saizi yako....yani zisikubane mpaka kugawa/tenganisha nyama!!

Thanks Lizzy nimezipenda......
 
Sasa na mambo yale ya goti utavaaje G? maana nasikia wakati mwingine vinatiririka vyenyewe

mambo ya goti ndio yapi hayo mpendwa???nini vinatiririka tobailahi?:biggrin1:
 
we Gaga wewe......wengine tupo kazini hapa......dah


Pauline.....nimeipenda style yako, mwanamke aibu kidogo inaswihi bana.....ila napata mashaka kama KWELI vi G_string hujawahi/huvitumii...eeeh mama...:mod::tonguez:[UOTE]

kweli Kaizer sivitumii,nataka niimprove nimsuprize mister ila sijui nianzie wapi? i guess kwa watu wanene kama mimi huu ni mtihani.....:biggrin1:
 
wajemeni hivi ni mimi tu au kuna wanawake wengine pia hizo G-strings na bikini hatuna mzuka navyo??am more comfortable nikivaa pants kubwa ila wakati wa kusaula na shemeji yenu naona aibu kweli......huwa nawish ningevaa kitu more attractive instead,.........:dance::biggrin1:


kwahiyo unavaaga bukta bibie?
 
kweli Kaizer sivitumii,nataka niimprove nimsuprize mister ila sijui nianzie wapi? i guess kwa watu wanene kama mimi huu ni mtihani.....:biggrin1:

Njoo tuanze na mimi kwanza unifanyie supprise...lol
 
LOL...sweetie kumbe ulikuwa 'hujampata' bado..sometimes she can be so controversial.....majuzi tu nilimwona akitoka kisimani sema kuna kondoo mmoja alikuwa amepotea ikabidi nimfate, otherwise ningemuuliza kidogo mambo flani ivi:ranger:🙄

Kaizer.......long time!!
 
Back
Top Bottom