2025 ni too soon!, the time is too little too late!. Jipangeni kwa Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika!2025 ccm inasukumizwa nje ya ulingo
Nothing lasts longer , Mungu akishaamua hakuna wa kupinga2025 ni too soon!, the time is too little too late!. Jipangeni kwa Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika!
P
Uzuri wa Mungu ni wa wote, ni Mungu huyo huyo Chadema mnayemubiria awaingize Ikulu, ndiye yeye aliyewapa CCM kuitawala Tanzania na ndiye anayewafanya waendelee kututawala milele !.Nothing lasts longer , Mungu akishaamua hakuna wa kupinga
CCM haikupewa madaraka na Mungu , imepewa na mawakala wa Shetani Dkt Mahera na Salim JechaUzuri wa Mungu ni wa wote, ni Mungu huyo huyo Chadema mnayemubiria awaingize Ikulu, ndiye yeye aliyewapa CCM kuitawala Tanzania na ndiye anayewafanya waendelee kututawala milele !.
P
This is where Chadema got it wrong always!. Kama ilivyo kwenye uumbaji, ni Mungu huumba kila kitu including shetani, na Mungu ndie huita wote mbele ya haki, vivyo hivyo ni Mungu ndie huweka serikali za mataifa.CCM haikupewa madaraka na Mungu , imepewa na mawakala wa Shetani Dkt Mahera na Salim Jecha
Naomba kukuuliza, lets suppose CCM imepokonywa Kiti cha urais, ni nani huyo mwenye uwezo wa kuipokonya CCM kiti cha urais?Hivi ni lini CCM itatoka madarakani, moja ya furaha yangu nikuona Ccm wakipokonywa kiti cha uRais sio kwa ubaya ila tu mabadiriko haya natamani niyaone nikiwa bado hai.
= mabadilikoHivi ni lini CCM itatoka madarakani, moja ya furaha yangu nikuona Ccm wakipokonywa kiti cha uRais sio kwa ubaya ila tu mabadiriko haya natamani niyaone nikiwa bado hai.
Mimi ni MwanaCCM japo sifungamani na chama kama kimenizaa hapana, napenda maendeleo ni mzalendo, naamini kwenye sera chanya zenye maslah mapana ya Taifa na watu wake hivyo mabadiriko ni mabadiriko tu naombea Taifa langu lipitie nyakati za mabadiriko.
Nakuunga mkono, no matter how good one, akikaa muda mrefu, anachosha, hivyo mabadiliko ni muhimu from time to time, CCM kina utaratibu mzuri wa miaka 10, anakuja mwingine, naomba kukuuliza, ukiondoa CCM, nani mwingine wa kutuletea maendeleo ambaye ni mzalendo, na mwenye sera chanya zenye maslah mapana ya Taifa, ili tumpe Ikulu yetu?.Mimi ni MwanaCCM japo sifungamani na chama kama kimenizaa hapana, napenda maendeleo ni mzalendo, naamini kwenye sera chanya zenye maslah mapana ya Taifa na watu wake hivyo mabadiriko ni mabadiriko tu naombea Taifa langu lipitie nyakati za mabadiriko.
Apo chacha....!hata mimi natamani,ila sasa CCM itoke alafu kiingie chama gani?
Utangoja sana!.Ngoja tuone...
Utangoja sana!.Ngoja tuone...
Sidhani kwamba Kweli Tanzania hatuna watu wakuweza kuliongoza Taifa hili vizuri zaidi ya Wafanyavyo CCM. Naamini hata Nyerere alipostaafu wapo waliodhani sasa tunaelekea kuzimu kama taifa, lakini tizama bado tupo. Vivyo hivyo wewe unadhana hakuna awezaye zaidi ya ccm, mi naamini hilo linawezekana.Nakuunga mkono, no matter how good one, akikaa muda mrefu, anachosha, hivyo mabadiliko ni muhimu from time to time, CCM kina utaratibu mzuri wa miaka 10, anakuja mwingine, naomba kukuuliza, ukiondoa CCM, nani mwingine wa kutuletea maendeleo ambaye ni mzalendo, na mwenye sera chanya zenye maslah mapana ya Taifa, ili tumpe Ikulu yetu?.
P
Halafu CCM ikitoka kinaingia chama gani?2025 ccm inasukumizwa nje ya ulingo
Sidhani kama wamekusikia....ngoja niseme tena ""Uzuri wa Mungu ni wa wote, ni Mungu huyo huyo Chadema mnayemubiria awaingize Ikulu, ndiye yeye aliyewapa CCM kuitawala Tanzania na ndiye anayewafanya waendelee kututawala milele !.
P
Uzuri wa Mungu ni wa wote, ni Mungu huyo huyo Chadema mnayemubiria awaingize Ikulu, ndiye yeye aliyewapa CCM kuitawala Tanzania na ndiye anayewafanya waendelee kututawala
Ikitoka CCM ni UMOJA party, hawa wengineo kama CHADEMA n.k watakuwa ma DeD tuHalafu CCM ikitoka kinaingia chama gani?
Tatizo ndo hilo huwezi kutoa CCM halafu nchi ibaki bila uongozi.