aleesha
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 798
- 1,178
Hiyo ni ndoto, maana kwa chadema tunavyowaona viongozi wao mitandani hali itakua mbaya zaidi kuliko Ccm2025 ccm inasukumizwa nje ya ulingo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ni ndoto, maana kwa chadema tunavyowaona viongozi wao mitandani hali itakua mbaya zaidi kuliko Ccm2025 ccm inasukumizwa nje ya ulingo
Mnafikihata mimi natamani,ila sasa CCM itoke alafu kiingie chama gani?
Akili ndogo Sana hiiCCM sawa itoke tatizo hivi vyama vingine ndio hamna kabisa nachokiona serious japo natamani pia iwe hivyo
Hilo kweli litatokea mwaka 3100!Hivi ni lini CCM itatoka madarakani, moja ya furaha yangu nikuona Ccm wakipokonywa kiti cha uRais sio kwa ubaya ila tu mabadiriko haya natamani niyaone nikiwa bado hai.
Mimi ni MwanaCCM japo sifungamani na chama kama kimenizaa hapana, napenda maendeleo ni mzalendo, naamini kwenye sera chanya zenye maslah mapana ya Taifa na watu wake hivyo mabadiriko ni mabadiriko tu naombea Taifa langu lipitie nyakati za mabadiriko.
Kwasasa naona wakukipokonya kiti cha urais ni ccm wenyewe. Naamini kuna siku mgombea urais wa Ccm atauza kiti cha urais kwa mpinzani ambacho angestail kukikalia ..... Pia 2030 ndio wakat sahih wa upinzani kukalia kiti ch urais bila hata ya kuuziwa na ccm wenyewe ....Naomba kukuuliza, lets suppose CCM imepokonywa Kiti cha urais, ni nani huyo mwenye uwezo wa kuipokonya CCM kiti cha urais?
P
Chama gani mbadala wa CCM kipewe nchi?Mnafiki
CHADEMA AAAAAAAA PEOPLE'S?hata mimi natamani,ila sasa CCM itoke alafu kiingie chama gani?
Mapema sana mbwai mbwai2025 ccm inasukumizwa nje ya ulingo
Kunywa Maji mwananguHivi ni lini CCM itatoka madarakani, moja ya furaha yangu nikuona Ccm wakipokonywa kiti cha uRais sio kwa ubaya ila tu mabadiriko haya natamani niyaone nikiwa bado hai.
Mimi ni MwanaCCM japo sifungamani na chama kama kimenizaa hapana, napenda maendeleo ni mzalendo, naamini kwenye sera chanya zenye maslah mapana ya Taifa na watu wake hivyo mabadiriko ni mabadiriko tu naombea Taifa langu lipitie nyakati za mabadiriko.
CCM ndani Ina demokrasia ya kweli japo Kuna wachache wakorofi wanataka kujimilikisha chamaNakuunga mkono, no matter how good one, akikaa muda mrefu, anachosha, hivyo mabadiliko ni muhimu from time to time, CCM kina utaratibu mzuri wa miaka 10, anakuja mwingine, naomba kukuuliza, ukiondoa CCM, nani mwingine wa kutuletea maendeleo ambaye ni mzalendo, na mwenye sera chanya zenye maslah mapana ya Taifa, ili tumpe Ikulu yetu?.
P
Msipoisukumiza nje 2025 uolewe tu sasa!!2025 ccm inasukumizwa nje ya ulingo
Sawa, bc ile mambo ya Tulishinda ila tumeibiwa kura yasiwepo awamu hii2025 ccm inasukumizwa nje ya ulingo
Bila kumsahau jiji Kaijage.CCM haikupewa madaraka na Mungu , imepewa na mawakala wa Shetani Dkt Mahera na Salim Jecha