linyaku Member Joined Mar 13, 2014 Posts 56 Reaction score 26 May 31, 2014 #1 Naombeni kuuliza hivi ni mwezi gani wanaenda vyuo kuanza kwa watakao chaguliwa? Msaada please!
Geofrey_GAMS JF-Expert Member Joined Feb 15, 2012 Posts 496 Reaction score 229 May 31, 2014 #2 kla chuo kna tarehe yake ya kufungua vingi ni mwez wa kumi au wa tisa mwshon
M msomaji J Member Joined May 10, 2014 Posts 15 Reaction score 0 Jun 17, 2014 #4 linyaku said: Naombeni kuuliza hiv ni mwez gan wanaenda vyuo kuanza kwa watakao chaguliwa? Msaada please! Click to expand... :A S-confused1::A S-key:OCTOBA
linyaku said: Naombeni kuuliza hiv ni mwez gan wanaenda vyuo kuanza kwa watakao chaguliwa? Msaada please! Click to expand... :A S-confused1::A S-key:OCTOBA
R Romana sangana New Member Joined Jul 11, 2014 Posts 1 Reaction score 0 Jul 14, 2014 #5 Naomba kujua kama kuna mtu anajua gharama za kuaply kwa tcu na vip kwa wale waliomaliza miaka ya nyuma gharama ni tofauti...naomba anayejua anisaidie
Naomba kujua kama kuna mtu anajua gharama za kuaply kwa tcu na vip kwa wale waliomaliza miaka ya nyuma gharama ni tofauti...naomba anayejua anisaidie
B Baba Genovivah JF-Expert Member Joined Sep 1, 2013 Posts 756 Reaction score 249 Jul 15, 2014 #6 Romana sangana said: Naomba kujua kama kuna mtu anajua gharama za kuaply kwa tcu na vip kwa wale waliomaliza miaka ya nyuma gharama ni tofauti...naomba anayejua anisaidie Click to expand... tcu voucher costs 50000/-..
Romana sangana said: Naomba kujua kama kuna mtu anajua gharama za kuaply kwa tcu na vip kwa wale waliomaliza miaka ya nyuma gharama ni tofauti...naomba anayejua anisaidie Click to expand... tcu voucher costs 50000/-..