Lini kwenda vyuo vikuu 2014/2015

Lini kwenda vyuo vikuu 2014/2015

linyaku

Member
Joined
Mar 13, 2014
Posts
56
Reaction score
26
Naombeni kuuliza hivi ni mwezi gani wanaenda vyuo kuanza kwa watakao chaguliwa? Msaada please!
 
kla chuo kna tarehe yake ya kufungua vingi ni mwez wa kumi au wa tisa mwshon
 
Naomba kujua kama kuna mtu anajua gharama za kuaply kwa tcu na vip kwa wale waliomaliza miaka ya nyuma gharama ni tofauti...naomba anayejua anisaidie
 
Back
Top Bottom