*Kiriukisikia neno KANUSHO jua wamekili ukweli.
Kama sio kweli kwa nini wanatoka haraka kukanusha.
Mbele yao wanawaona kama wahalifu tuu
Hata wewe mjuaji ni kunguni tu. Soma hii sentensi yako halafu ujionee mwenyewe!*Kiri
We ulisoma shule gani kunguni wewe!?..yaani kuandika kiswahili huwezi!
Mshana Jr 🙏🙏🙏🙏🙏 karne hii genge la polisi linaongopaWa damu...!
Polisi asiyeongea uongo ni yule aliyekufa tu
Ukinionesha makosa nakutumia GB 64Hata wewe mjuaji ni kunguni tu. Soma hii sentensi yako halafu ujionee mwenyewe!
"We ulisoma shule gani kunguni wewe!?" Kuna makosa ya kutosha tu!
GB zenyewe mnapewa bure! Halafu unataka unitumie na mimi! Boss wako Lucas Mwashambwa akiona unafanya hivi si atakuchongelezea kwa wakubwa ili uondolewe kwenye mpango mkakati!Ukinionesha makosa nakutumia GB 64