Lini polisi wa Tanzania. Wamewahi kuwa wa kweli?

ukisikia neno KANUSHO jua wamekili ukweli.

Kama sio kweli kwa nini wanatoka haraka kukanusha.
*Kiri
We ulisoma shule gani kunguni wewe!?..yaani kuandika kiswahili huwezi!
 
JESHI LA POLISI NI WAONGO SANA.

1. Henry Mboya alikawatwa barabarani.

2. Polisi haijawi search nyumbani kwake.

3. Na hata alipokamatwa barabarani hakua na bastola Bandia wala kitu chochote zaidi ya simu na pesa.

OCCID wa Tunduma alikua anataka familia impe rushwa kiasi cha shilingi milioni tano ili amuachie Henry Mboya baada ya kuona tumemlipua ndo kaamua kumbambika kesi ya uwongo Henry Mboya ili kumkomoa.

Hawa Mapolisi wengi wanamaisha magumu sana na wengine huwa wanakufa midomo wazi kwasababu ya laana za kujitakia kutoka kwa watu ambao wanawaonea kwa kutumia nafasi zao.
 
Ukinionesha makosa nakutumia GB 64
GB zenyewe mnapewa bure! Halafu unataka unitumie na mimi! Boss wako Lucas Mwashambwa akiona unafanya hivi si atakuchongelezea kwa wakubwa ili uondolewe kwenye mpango mkakati!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…