Lini second selection?

Lini second selection?

Mzenjibar

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2011
Posts
227
Reaction score
292
Jamani Second selection za diploma ya ualimu ualimu zinatoka lini?
 
we unaishi dunia gani/ Second selection ilishafanyika na watu wameshalamba hata mkopo! Ulipoapply comment ya second selection si ina indicate kwamba admitted? Basi check chuo ambacho umekuwa admitted kama wameshatoa hiyo orodha kama UDSM au SUA majiya yapo kwenye mitandao ya vyuo husika. kwa vyuo vingine sijui.
 
Mkubwa umeelewa alicho uliza??
kauliza second selection ya diploma ya ualimu, wewe umemjibu second selection ya Degree.
 
Haya bwana kabadirisha context ya mazungumzo kutoka kwenye admission za degree kwenda kwenye diploma hivyo mancho yanaweza kusoma diploma lakini akili ikang'ang'ania kuwa neno unalolisoma ni 'degree'
 
Okay!! kumbe alikosea mleta mada mwenyewe, I got you mkuu
 
Back
Top Bottom