Lini serikali ya tanzania itatambua umuhimu wa wanafunzi vya vyuo vikuu

calculas1

Member
Joined
Jul 25, 2014
Posts
6
Reaction score
1
Ndgu zangu habari za asubuhi, napenda kuelewa lini tutaacha kuwabeza awa wanafunzi wa vyuo vikuu hasa wale wanalipiwa na bodi ya mikopo, ni aibu kubwa kwa taaifa kama hili kuona watoto wa maskini wakiangaika huku na kule ili kunusuru maisha yako. serikali ipo wapi kama bodi imeshindwa kuwapatia pesa basi hiyo bodi inatakiwa iondolewe wawape wawekezaji.
Nakama Leo pesa ya mafunzo kwa vitendo imekuwa kizungumkuti je? Harpo mwezi wa kumi mwanzoni vyuo vitafunguliwa na wanufaikaji wapya wataongezeka ndo itawezekana, lai yangu ni kwamba tuache siasa katika maswala yanayohusu elimu tukiendelea na ubabaishaji huu atujengi taifa la wasomi Bali tutaongeza gap kati ya wenye nacho na wale wasio nacho.
 
Najua hamjalipwa..ila serikali ya magamba itawalipa pesa zenu za field soon.Tambueni kuwa hata walimu wenu wa vyuo mishahara yao ya mwezi huu imecherewa

Adios
 
Siku watakapojua kuwa chuo sio uwanja wa siasa, siku watapobaini kuwa chuo ni tanuri la fikra na sio political incubator na watakapojua kuwa social evils ni ugonjwa wa kuambukiza, wakisikia huduma za afya mbovu basi wajadili na kutoa japo tamko sio kusubiri matukio ya kisiasa tu na yanayowapendeza wakubwa!!!!!!

Najua kuna baadhi sio wanasiasa ila wanafanya nini kudhibiti hao wachache??!!!
 
Serikali hii ya ccm inaleta mchezo kwenye vitu makini. Wanafunzi wametukopa pesa mara mbili mbili. Akina mama ntilie huku mitaani wanalalamika madeni ya wanafunz wa vyuo yamekuwa makubwa sana na wana wasiwasi kama watalipwa au la. Hii ni aibu kwa serikali ya ccm.
 
Mwigulu hoyee! waziri kijana! wako bize kuishughulikia UKAWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…