Ndgu zangu habari za asubuhi, napenda kuelewa lini tutaacha kuwabeza awa wanafunzi wa vyuo vikuu hasa wale wanalipiwa na bodi ya mikopo, ni aibu kubwa kwa taaifa kama hili kuona watoto wa maskini wakiangaika huku na kule ili kunusuru maisha yako. serikali ipo wapi kama bodi imeshindwa kuwapatia pesa basi hiyo bodi inatakiwa iondolewe wawape wawekezaji.
Nakama Leo pesa ya mafunzo kwa vitendo imekuwa kizungumkuti je? Harpo mwezi wa kumi mwanzoni vyuo vitafunguliwa na wanufaikaji wapya wataongezeka ndo itawezekana, lai yangu ni kwamba tuache siasa katika maswala yanayohusu elimu tukiendelea na ubabaishaji huu atujengi taifa la wasomi Bali tutaongeza gap kati ya wenye nacho na wale wasio nacho.