John Gregory
JF-Expert Member
- Jul 14, 2019
- 1,137
- 2,147
Nikiwa kama shabiki wa Simba huwa ninaumia sana kuona miaka yote sisi tunakuwa wasindikizaji. Mbaya zaidi kila tunapokutana na watani zetu tunaishia kuchapwa tukijitahidi sana ni draw.
Nadhani ifike wakati kocha apewe malengo kwamba asipoweza kuchukua ubingwa wa ligi au walau kuifunga Yanga, basi tuachane. Lini sisi tutafaidi utamu wa ubingwa? Makombe yote miaka yote inakwenda huko Jangwani.
Nini kifanyike Simba tuweze kuipiku Yanga?