John Gregory
JF-Expert Member
- Jul 14, 2019
- 1,137
- 2,147
Miaka yote mingapi?Nikiwa kama shabiki wa Simba huwa ninaumia sana kuona miaka yote sisi tunakuwa wasindikizaji. Mbaya zaidi kila tunapokutana...
Itakua ameanza kushabikia mpira juzi Yanga alipoingia robo fainali shirikisho kwa mara ya kwanza toka ianzishwe!
Mojawapo kati ya hatua muhimu za kuchukua ni kusukumia mbali mashabiki wenye attitude kama yako.Nikiwa kama shabiki wa Simba huwa ninaumia sana kuona miaka yote sisi tunakuwa wasindikizaji. Mbaya zaidi kila tunapokutana na watani zetu tunaishia kuchapwa tukijitahidi sana ni draw...
Kwani kihistoria mpaka sasa Yanga imechukua mara ngapi na Simba Mara ngapi tangu league ianze?
Washabiki wa hovyo kama ww malengo ya timu sio kuifunga yanga au yanga kuifunga simba tu kubalini yanga kajipanga japo naye kipindi cha nyuma aliteseka jipangeni tu nakiri sio mfuatiliaji sana wa michezo ila hata nikisikiliza mara moja moja napata taarifa kuwa yanga now yupo kwenye ubora wake. Simba anaweza mfunga yanga home and away na bado ligi asiwe bingwa na huwezi ukawa na wachezaji mataptapu alafu ukatarajia ufanye vyema. Kubalini jipangeni hata yanga bado wanaendelea kujiimarisha hawajalala usingiziNikiwa kama shabiki wa Simba huwa ninaumia sana kuona miaka yote sisi tunakuwa wasindikizaji. Mbaya zaidi kila tunapokutana na watani zetu tunaishia kuchapwa tukijitahidi sana ni draw.
Nadhani ifike wakati kocha apewe malengo kwamba asipoweza kuchukua ubingwa wa ligi au walau kuifunga Yanga, basi tuachane. Lini sisi tutafaidi utamu wa ubingwa? Makombe yote miaka yote inakwenda huko Jangwani.
Nini kifanyike Simba tuweze kuipiku Yanga?
Wewe na wala mihogo wenzako ni mataahiraKwani kihistoria mpaka sasa Yanga imechukua mara ngapi na Simba Mara ngapi tangu league ianze?
Au mnazungumzia hii misimu michache iliyopita mliyochukua??[emoji23][emoji23][emoji23]
Makolo hamnaga akili
Huyo ni mshabiki wa Yanga Simba hakuna vilaza sampuli ya huyo taahira mleta uzi huuWashabiki wa hovyo kama ww malengo ya timu sio kuifunga yanga au yanga kuifunga simba tu kubalini yanga kajipanga japo naye kipindi cha nyuma aliteseka jipangeni tu nakiri sio mfuatiliaji sana wa michezo ila hata nikisikiliza mara moja moja napata taarifa kuwa yanga now yupo kwenye ubora wake. Simba anaweza mfunga yanga home and away na bado ligi asiwe bingwa na huwezi ukawa na wachezaji mataptapu alafu ukatarajia ufanye vyema. Kubalini jipangeni hata yanga bado wanaendelea kujiimarisha hawajalala usingizi
Makolo ni makolo tu, mmejaa ujinga
Umeanza kushabikia Simba mwaka JanaNikiwa kama shabiki wa Simba huwa ninaumia sana kuona miaka yote sisi tunakuwa wasindikizaji. Mbaya zaidi kila tunapokutana na watani zetu tunaishia kuchapwa tukijitahidi sana ni draw.
Nadhani ifike wakati kocha apewe malengo kwamba asipoweza kuchukua ubingwa wa ligi au walau kuifunga Yanga, basi tuachane. Lini sisi tutafaidi utamu wa ubingwa? Makombe yote miaka yote inakwenda huko Jangwani.
Nini kifanyike Simba tuweze kuipiku Yanga?
Nyie mumejaa upumbavuMakolo ni makolo tu, mmejaa ujinga