Makonde plateu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,443
- 3,480
Niambie lini Tanzania ilikuwa kisiwa cha Amani? Tunadanganyana tu awamu zote zilizopita kulikuwa na mjuaji,kuwekwa vizuizini na mauaji tunadanganyana tu ila kwasasa kwasababu vyombo vya habari ni vingi kwahiyo tunapata kwa haraka sana hii ilikuwa au imekuwa kisiwa cha mauaji tokea hapo soma historia au fuatilia vizuri sio kuwa brainwashed Tu
Eti wengine wanasema Mtanzania ni mkarimu wapi? Toka lini Mtanzania akawa mkarimu? Mtanzania huyu huyu wa mauji ya albino,vikongwe na matukio kadhaa ya kutisha kiujumla tulidanganywa na tunaendelea kujidanganya Tu.