ComputersDAR
JF-Expert Member
- Jan 21, 2013
- 213
- 242
Kila nikijaribu kuingia kwenye tovuti ya TIN ya TRA napata error messages.
Hii inakera sana tena sana!
Cha ajabu, leo asubuhi kupitia Richard Kayombo, TRA wanajinadi kwenye EFM Radio eti kila kitu kuhusu TIN kimerahisishwa kupitia tovuti ya TRA?
Lakini siyo kweli hata kidogo. Tovuti ya TIN in matatizo makubwa.
Mara zote, tena kwa siku tofauti na miezi tofauti kila nikijaribu ku login inakataa.
Kwanini hawa watu hawarekebishi huo upuuzi wao ambao kila mara unazingua?