ComputersDAR
JF-Expert Member
- Jan 21, 2013
- 213
- 242
Hii inawezekana pengine waombaji kwa sasa wamejitokeza wengi , hata barabara mkitoka wengi kwa wakati mmoja lazima kutakuwa na foleni tu. Mimi yangu ilinichukua dakika 2 kupata maana nilijua ikifika deadline kila mtu ndiyo ataanza kuomba hivo walipotangaza TRA sikusubiriView attachment 1643746
Mbona nimejaribu imekubali?
tumieni computer inafunguka vizuri tuLeo hawapo kabisa hewani,TRA kunani?
Pole ndugu najua hutaki kusema ukweli kwamba hujui .Ukishafungua kwanza anza na register na ukishaingiza namba ya nida itakuwa wamekutambuwa ya wewe nani na utaona mpaka picha yako ya kwenye nida id kisha angalia kushoto juu mwa hiyo website utaona alama ya pundamilia ngusa hapo kuna fomu ipo online jaza hiyo ukimaliza kujaza unakuwa tayari umefanikiwa kwa kusubmit .kumbuka kuweka password nyepesi ili ukitaka kulog in usikwamishwe na password.Kila nikijaribu kuingia kwenye tovuti ya TIN ya TRA napata error messages.
Hii inakera sana tena sana!
Cha ajabu, leo asubuhi kupitia Richard Kayombo, TRA wanajinadi kwenye EFM Radio eti kila kitu kuhusu TIN kimerahisishwa kupitia tovuti ya TRA?
Lakini siyo kweli hata kidogo. Tovuti ya TIN in matatizo makubwa.
Mara zote, tena kwa siku tofauti na miezi tofauti kila nikijaribu ku login inakataa.
Kwanini hawa watu hawarekebishi huo upuuzi wao ambao kila mara unazingua?
mbona mimi kila nikijisajili nashindwa kulog in inanambia password error tatizo ni nini itakuwa?Pole ndugu najua hutaki kusema ukweli kwamba hujui .Ukishafungua kwanza anza na register na ukishaingiza namba ya nida itakuwa wamekutambuwa ya wewe nani na utaona mpaka picha yako ya kwenye nida id kisha angalia kushoto juu mwa hiyo website utaona alama ya pundamilia ngusa hapo kuna fomu ipo online jaza hiyo ukimaliza kujaza unakuwa tayari umefanikiwa kwa kusubmit .kumbuka kuweka password nyepesi ili ukitaka kulog in usikwamishwe na password.
Anza kwanza kuregister siyo kulogin .mbona mimi kila nikijisajili nashindwa kulog in inanambia password error tatizo ni nini itakuwa?