Lini tutaona mwisho wa kusherehekea uhuru ?

Lini tutaona mwisho wa kusherehekea uhuru ?

cairnegie

Member
Joined
Jul 10, 2017
Posts
11
Reaction score
5
Enzi za ujinga zilifika mwisho , uchifu ,udini , ubarbari ,utumwa ,ukoloni pia zilifika mwisho , suali la kujiuliza ;JEE HUU UTAWALA WA UHURU UTAFIKA MWISHO ???!
 
Labda siku tutakapoacha kusherehekea birthday; maana nchi nayo ilizaliwa!
 
Nchi inasheherekea Uhuru wakati wananchi hawana raha na serikali iliyopo madarakani pamoja na utawala mzima.
 
Enzi za ujinga zilifika mwisho , uchifu ,udini , ubarbari ,utumwa ,ukoloni pia zilifika mwisho , suali la kujiuliza ;JEE HUU UTAWALA WA UHURU UTAFIKA MWISHO ???!
Hii ni ndoto ya mchana , ila inawezekana , kwani hata hao watawala walivokua wanasherehekea utawala wao hawakuwa wakitegemea kama utafikia ukomo ... naomba niweke nukta .
 
Back
Top Bottom