Lini tutapeleka misaada Palestina?

Lini tutapeleka misaada Palestina?

Iran anayewapa Hamas na Hizbollah makombora na silaha nyingine ili kuhakikisha mgogoro baina ya Israel na Palestine hauishi, kwa nini asilibebe jukumu la kuwatunza Wapalestina baada ya kuwasababishia madhira yanayoendelea?

UN walistshili kuibana Iran na kuilazimisha kulipa fidia kwa maafa yote yaliyotokea huko Palestine na Israel.
Na marekani pia wanatakiwa walipishwe kwa kuwapa waisrael silaha za kuua wapalestina
 
Ni wajibu wetu kama taifa kusaidia ndugu zetu Palestina katika hali ya huzuni waliyonayo kama tulivyofanya Malawi hata Zimbabwe. Na karibuni Uturuki.

Tumeona wanachama wa Arab league wamepeleka vyakula na nguo. Sisi lini tunapeleka mifugo na msaada wa ushauri nasaha (counselling)?

NB: Katika msafara wa kusafirisha misaada hiyo wajumbe 50 lazima watokee Zanzibar.

Wabillah Taufiq
Samia na CCM yake wapo bize kuwaza 2025 mpaka 2035! Tanzania tena sio mkombozi wa wanyonge, Jwtz,ilikimbia magaidi wa msumbiji, Rwanda ikaenda ikawamaliza! Sasa hv, Gaza kuna Vita, wizara ya Mambo ya nje, imelala, Rwanda tayari imepereka msaada!
Samia yupo bize anasherehekea birth day ya mkoa! Singida,sijawahi kuona tarehe ya mkoa kuanzishwa inasherehekewa! Tangu nizaliwe!
Akili za CCM, ili kubaki relevant, wanatengeneza visherehe uchwala.
 
Ni wajibu wetu kama taifa kusaidia ndugu zetu Palestina katika hali ya huzuni waliyonayo kama tulivyofanya Malawi hata Zimbabwe. Na karibuni Uturuki.

Tumeona wanachama wa Arab league wamepeleka vyakula na nguo. Sisi lini tunapeleka mifugo na msaada wa ushauri nasaha (counselling)?

NB: Katika msafara wa kusafirisha misaada hiyo wajumbe 50 lazima watokee Zanzibar.

Wabillah Taufiq
Mbona Palestine vipi Ukraine sio watu au wanastaili kuuawa na urusi?

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Ni wajibu wetu kama taifa kusaidia ndugu zetu Palestina katika hali ya huzuni waliyonayo kama tulivyofanya Malawi hata Zimbabwe. Na karibuni Uturuki.

Tumeona wanachama wa Arab league wamepeleka vyakula na nguo. Sisi lini tunapeleka mifugo na msaada wa ushauri nasaha (counselling)?

NB: Katika msafara wa kusafirisha misaada hiyo wajumbe 50 lazima watokee Zanzibar.

Wabillah Taufiq
Iran ndio msababishaji wa haya yote anatoa msaada kwa magaidi amewasaidia makombora ya kurusha Israel

Back
Top Bottom