Lini tutapeleka misaada Palestina?

Na marekani pia wanatakiwa walipishwe kwa kuwapa waisrael silaha za kuua wapalestina
 
Samia na CCM yake wapo bize kuwaza 2025 mpaka 2035! Tanzania tena sio mkombozi wa wanyonge, Jwtz,ilikimbia magaidi wa msumbiji, Rwanda ikaenda ikawamaliza! Sasa hv, Gaza kuna Vita, wizara ya Mambo ya nje, imelala, Rwanda tayari imepereka msaada!
Samia yupo bize anasherehekea birth day ya mkoa! Singida,sijawahi kuona tarehe ya mkoa kuanzishwa inasherehekewa! Tangu nizaliwe!
Akili za CCM, ili kubaki relevant, wanatengeneza visherehe uchwala.
 
Mbona Palestine vipi Ukraine sio watu au wanastaili kuuawa na urusi?

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Iran ndio msababishaji wa haya yote anatoa msaada kwa magaidi amewasaidia makombora ya kurusha Israel

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…