Mbona hufananii kabisa na dona mkuu.Aisee me ndio unanijuza sahii na ninavyoupenda sasa. Lol
Kwanini? Umeniona wapi mpaka useme sifanani na dona?Mbona hufananii kabisa na dona mkuu.
NdioooNa wewe unakula dona
Kwanini? Umeniona wapi mpaka useme sifanani na dona?
Me natumia vyote...ila sio mpenzi wa chips mayai ni heri nile kavu na nyamaSina maana hiyo mkuu, i mean mara chache sanaa kuona wadada wakishabikia mambo ya ugali hasa dona, wengi ni waabudu chips mayai.
Well , sema ugali hasa dona ni mboga bwanaa, kama hamna mboga ya maana mi waniite mwanaume wa dar tu, nitakula chips.Me natumia vyote...ila sio mpenzi wa chips mayai ni heri nile kavu na nyama
Hahaha...Well , sema ugali hasa dona ni mboga bwanaa, kama hamna mboga ya maana mi waniite mwanaume wa dar tu, nitakula chips.
Sure mkuu.Hahaha...
Kweli?Ulikua na umri gani ulipogundua kua neno unga wa dona, sio unga unaotokana na mahindi yasiyokobolewa bali ni unga wa msaada kutokana na njaa ya mwaka 1974 (unga wa donor)
ππππ Dona lina mboga zake ukifanya mchezo kooni halipitiWell , sema ugali hasa dona ni mboga bwanaa, kama hamna mboga ya maana mi waniite mwanaume wa dar tu, nitakula chips.
Haha ndio maana wadada wa mjini hawataki dona kuepusha shida zote hizoπππππ Dona lina mboga zake ukifanya mchezo kooni halipiti