Lini ulitambua maana halisi ya unga wa dona

Lini ulitambua maana halisi ya unga wa dona

koncho77

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
7,789
Reaction score
10,388
Ulikua na umri gani ulipogundua kua neno unga wa dona, sio unga unaotokana na mahindi yasiyokobolewa bali ni unga wa msaada kutokana na njaa ya mwaka 1974 (unga wa donor)
 
Tangu miaka ya sitini, tumekua tukiita ugali huo dona, sembe haikuwa kitu
 
Nadhan Watz ndo asili Yetu kuyapa majina vitu au watu kutokana na tukio flani au moment flani ama kushindwa kutamka hilo neno kwa ufasaha btw me leo ndo nafahamu
 
Duu inaleta maana........! Ndio sasa hivi najua hiyo kitu! Niliwahi kusikia kuhusu unga wa Yanga
 
Sina maana hiyo mkuu, i mean mara chache sanaa kuona wadada wakishabikia mambo ya ugali hasa dona, wengi ni waabudu chips mayai.
Me natumia vyote...ila sio mpenzi wa chips mayai ni heri nile kavu na nyama
 
Ulikua na umri gani ulipogundua kua neno unga wa dona, sio unga unaotokana na mahindi yasiyokobolewa bali ni unga wa msaada kutokana na njaa ya mwaka 1974 (unga wa donor)
Kweli?
 
Well , sema ugali hasa dona ni mboga bwanaa, kama hamna mboga ya maana mi waniite mwanaume wa dar tu, nitakula chips.
😂😂😂😂 Dona lina mboga zake ukifanya mchezo kooni halipiti
 
Back
Top Bottom