gstar
JF-Expert Member
- Jun 19, 2011
- 790
- 1,373
1. Kuvunja nazi njiapanda.
2. Kwa mama ntilie kupika chakula na maji yaliyooshea maiti / yaliyo tawaziwa.
3. Kuchukua watu misukule.
4. Kuwanga usiku.
5. Kufuga majini.
6. Kuhudhuria kwa waganga wa kienyeji.
7. Kugeuza watoto wetu mandondocha ili tupate utajiri.
8. Mwanamke kumlisha mumewe limbwata.
(Sidhani kama wazungu wana hizi mambo!)
Siku tukiacha hivi vitu ndipo tutakapo pata maendeleo ya kweli.