Upo wapi hapo?1. Kuvunja nazi njiapanda.
2. Kwa mama ntilie kupika chakula na maji yaliyooshea maiti / yaliyo tawaziwa...
Hii inafanyika maeneo mengi sana alafu watu hawajui aseee daah especially maji waliyotawazwa watoto2. Kwa mama ntilie kupika chakula na maji yaliyo tawaziwa.
Hizo ni imani, mengine huwezi kuthibitisha iwepo wavyo.1. Kuvunja nazi njiapanda.
2. Kwa mama ntilie kupika chakula na maji yaliyooshea maiti / yaliyo tawaziwa...
Huo ni ushirikina tu1. Kuvunja nazi njiapanda.
2. Kwa mama ntilie kupika chakula na maji yaliyooshea maiti / yaliyo tawaziwa.
3. Kuchukua watu misukule.
4. Kuwanga usiku.
5. Kufuga majini.
6. Kuhudhuria kwa waganga wa kienyeji.
7. Kugeuza watoto wetu mandondocha ili tupate utajiri.
8. Mwanamke kumlisha mumewe limbwata.
(Sidhani kama wazungu wana hizi mambo!)
Siku tukiacha hivi vitu ndipo tutakapo pata maendeleo ya kweli.