Muuza viatu
JF-Expert Member
- May 14, 2020
- 3,840
- 7,920
Ilitokea mahakama ya hakimu mkazi wakati mlokole mmoja hivi wa kiume akimshtaki mdada kwa kumtolea lugha chafu za kuudhi kwa njia ya sms katika simu ya mkononi, ikafikia muda wa mlokole kutoa ushahid mbele ya mahakama.
Mlokole akatoa simu yake na kuonyesha SMS hakimu aliisoma baada ya kumaliza akampasia mzee wa baraza walikua wapo watatu wawili wa kiume mmoja wakike, akausoma mzee wa kwanza wa kiume akampasia mzee wa pili wa kike akamshtua mzee wa tatu ambae ni wa kiume alikua anasinzia mzee baada ya kushtuka kutoka kusinzia akausoma ule ujumbe ambao ni ushahid akajikuta anamnong'oneza yule bib lini, wapi, saa ngap?
Hakimu ambaye alikua anasubiri wamalize kuusoma ule ujumbe ili watoe maoni yao ilibid apigwe na butwaa.