Link ya hizi movies

Link ya hizi movies

BelindaJacob

Platinum Member
Joined
Nov 24, 2008
Posts
6,474
Reaction score
4,039
Habari!

Nahitaji movie hizo chini, naomba link niweze ku-download
1) Wall Street by Michael Douglas(nadhani ni ya 1997)
2) Spymate

NB: Ningeweza kununua ila mazingira niliyopo siwezi kupata haraka ndo mana nimeuliza hapa.
 
www.isohunt.com search hizo movie kwenye hii link utazipata zote.
 
Ningekushauri ufungue account rapidshare.com kama una access ya PalPay.

Then, jiunge na rapidfind.org, hii ni forum kwa ajili ya rapidshare users.

Huko kuna movie nyingi kupita maelezo. DVD release ikitoka asubuhi basi me mchana tayari nshadownload.

Ubaya wa torrent inachukua muda kudownload, tofauti unapokua na direct link. But uzuri wake it's free. RapidShare costs you something!
 
Wakuu Josm, Mshiiri, Balantanda na Ramthods

Shukrani tele kwa hizo link, najaribu kudownload halafu niwape feedback..

BTW, nikitaka na movies zingine hata latest kidogo naweza tumia hizo link?
 
Wakuu Josm, Mshiiri, Balantanda na Ramthods

Shukrani tele kwa hizo link, najaribu kudownload halafu niwape feedback..

BTW, nikitaka na movies zingine hata latest kidogo naweza tumia hizo link?
Ukisha install Ares(pia waweza tumia bitlord,limewire au vuze) kwenye PC yako waweza download any movie you want for free...Cha msingi ni kutumia torrent search engine kama hii: http://www.torrentz.com/ na hii: http://torrentscoop.com/ kutafuta movie unayotaka baada ya kusearch zitakuja movies nyingi zenye jina la movie husika,cha kufanya we ni kuchagua mojawapo na kuiclick hiyo movie baada ya hapo kutatokea site kibao ambako movie hiyo inapatikana(inaweza kuwa thepiratebay,mininova,monova,yourbittorrent etc) ikishatokea hii we click yoyote kati ya hizo then kutatokea window yenye maelezo yote kuhusu movie husika,pia kutakuwa na maelekezo kama 'Download via usenet', 'Download via torrent',na 'Download this torrent' cha kufanya wewe click penye Download this torrent au Download via torrent..Ukishaclick hapo unasubiri kama dk moja au mbili hiyo movie inaenda moja kwa moja kwenye Ares na inaanza kuwa downloaded...Kupitia Ares waweza download movies,Softwares,e books,music na torrent nyingine zozote
 
Last edited:
Wakuu Josm, Mshiiri, Balantanda na Ramthods

Shukrani tele kwa hizo link, najaribu kudownload halafu niwape feedback..

BTW, nikitaka na movies zingine hata latest kidogo naweza tumia hizo link?
Ndio unaweza kutumia hizo link ku-search movie yoyote unayo taka.
 
Back
Top Bottom