Link za majina ya bodi ya mkopo (Loan allocation list) 2012/2013

Maganga Mkweli

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2009
Posts
2,089
Reaction score
829
NAOMBA CLICK HIZI LINK TAFADHALI NAJITAHIDI KU UPLOAD KADIRI NTAKAVYOWEZA ILA USHAURI MNGESUBIRI BAADAE MAANA WEBSITE YA LOAN BOARD IKO CHINI MAANA WATUMIAJI WAMEZIDI KIPIMO KWA SASA..

UPDATE
NAONA ZILE LINK ZA MWANZO WAMETOA UNAWEZA PATA MATEKEO ZAIDI KWA KUFUATA UTARATIBU HAPO CHINI

Nimejitahidi kuupload link karibia zote kama utakuwa na PC itakuwa vyema sana najua watu mnatumia simu itawasumbua hii kuscroll
nafikiri hii ni njia bora kuliko kupitia website ya loan board kwa sasa maana watumiaji ni wengi sana mpaka watakapopungua..


KUMBUKA UNAWEZA PATA ASILIMIA 0% YA MKOPO HII INA MAANA UTAPATA BOOM NA STATIONARY TU

JAMBO JINGINE LA MSINGI NA MUHIMU HASA KWA WALE AMBAO WAMEPATA ADMISSION KWENYE VYUO MBALIMBALI NA MAJINA YAO WAMEYAKOSA KWENYE LIST HII YA BODI NAOMBA WAWE WATULIVU KWA SASA WASIPANIC SANA KUNA NAMNA NYINGI TU ZA KUSOLVE HAYA MATATIZO KWANI SIO MWISHO WA SAFARI KUNA APPEAL HUWA ZINAFANYIKA NA HII MARA NYINGI MKIWA CHUO KUNA UTARATIBU HUO KUNA KUCHANGANYWA MKOPO KUPELEKWA CHUO KINGINE NA WEWE KUPANGIWA CHUO KINGINE KUNA BATCH NYINGINE ZINACHELEWA MPAKA WIKI HATA YA SITA YA MASOMO..

KUNA MDAU gkiwango AMEANZISHA HII THREAD HOPE NI VERY USEFUL KWA WALE NAOSUMBUKA KUFUNGUA HIZI LINK
UNAPATA DIRECT PDF FORMAT
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...pa-unaweza-download-ili-uwe-na-copy-yako.html




 
mtalia mwaka huuu atakaekosa anitonye inbox tupige deal
 
unajua watu wengine humu ndani wanaamka na hangover za makande sasa kichwa cha habari na thread aliiyoiandika havina uhusiano kajipange
 
presha inapanda presha inashuka,,,,,,,,,////////
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…