Link za majina ya bodi ya mkopo (Loan allocation list) 2012/2013

Link za majina ya bodi ya mkopo (Loan allocation list) 2012/2013

unajua wewe mpiga msuli huo wako ni utaahira..nimekuja spidi ya ajabu kufika nakuta hizi zilipendwa za marijani..

hapana mkuu hapo kuna mambo ya muhimu ya kujua! M kuna kitu nimejifunza kutoka uzi huu
 
unajua wewe mpiga msuli huo wako ni utaahira..nimekuja spidi ya ajabu kufika nakuta hizi zilipendwa za marijani..

hapana mkuu hapo kuna mambo ya muhimu ya kujua! M kuna kitu nimejifunza kutoka uzi huus
 
Wewe oil sumu watu tumetulia tuna ngoja heslb wewe unaleta uzi wa zamani.Haya subiri inahitajika na siku ndo hizi za bwana heslb kuachia mzigo.
 
huu uzi nimeupenda coz naona tarehe ndo hizo zina karibia bt nahisi itakuwa ijumaa...! Kwenye tar 20 au 22 sept
 
huu uzi nimeupenda coz naona tarehe ndo hizo zina karibia bt nahisi itakuwa ijumaa...! Kwenye tar 20 au 22 sept

kweli watu wa priorty ni lazima kupata mkopo hata mwaka jana walipewa wiki mbili ya kurekebisha tena fomu zao
 
Kuna mtu natamani auone huu uzi maana alinibishia sana,wabongo kwa kujua kila kitu
 
Back
Top Bottom