Link za majina ya bodi ya mkopo (Loan allocation list) 2012/2013

Link za majina ya bodi ya mkopo (Loan allocation list) 2012/2013

HONGERENI SAN BODI KWA KUTUMALIZA KISAIKOLOGIA KWANI KM CHUO KINA MAJINA 200 WA KITIVO KIMOJA ALAFU MWANAFUNZI HUYO KAPANGIWA NA TCU NA ADA YAKE NI KUANZIA MILION MBILI 2000000 NA KUENDELE LAMDA MPAKA MILION TATU 3000000

.
:baby:
NA NINYI WAJOMBA WA TCU WANA MPANGO GANI NA SUALA LA KUREGULATE ADA ZA VYUO VIKUUILI WANAFUNZI WOT WAPEWE HAKLI SAWA KWA SUALA LA ULIPAJI WA ADA
 
mi nashindwa kuwaelewa kabisa hawa jamaa waliopewa usimamiaji wa suala zima la mikopo ya elim ya juu!! wameweka majina then wameyatoa na siku zmeisha kwa nini wanawasumbua watu km mmeshindwa mjiuzulu!!! mtu kapata chuo then wamnyima mkopo so atasomaje ikiwa kasomea shule za kata!! huo ni ubaguzi toeni kwa wote waliopata admition bana kumbuka pes hizo ni za watanzania wote na ndio walipa kodi!!! inauma sana!!!
 
Tuliopata mkopo ndg zang hongeren sana hata mliokosa au jina lako halijaonekana kwa ss yanashughulikiwa msikate tamaa. Mungu yupo pamoja nas
 
jamani mbona nikija kufungua haya majina ya walio pata mkopo inagoma au ni kwenye PC yangu 2!
 
Wadau naomba mniangalizie Jina la kama nimepata Mkopo au nimekosa jina STEPHEN PETER-S0123/0085/2002 st.JOSEPH UNIVERSITY Songea.
 
jamani, mie tokea juzi sijayaona coz kila nikiclick hizo link naletewa hii meseji "509 Bandwidth Limit Exceeded" what wrong wajameni??
 
Back
Top Bottom