da transgressor
New Member
- Jul 11, 2012
- 3
- 0
Oya mbona mi cielewi hapa...wanenambia tuition fee 1,200,000 afu Total loan 3,995,200!!thn coz yangu ada n 1.5M...et ntakuwa nmepata % ngap..?msaa wadau
we data izo umeziona wapi? Hebu nijuze
Jaman mci2kane...mzigo upo bt bt bado kutolewa...thn njie wa non priority mxihofu xana coz washkaj zangu kibao wamepata % xafi 2...kama unataka kujua hatima yako we n PM ful name yako thn mi nakuchekia coz npo hukuhuku jikon...thn xkulazmish uamin
sija kuelewa mkuu mara umepata mara site iko bize eleza vizuri maana saa sita imeshapita leteni taarifa zilizo kamilika.Tayari kiko bise
Vp mkuu mbona ki2 hakifunguki au nikwangu 2,kama vp tupia mzigo jamvini